sponsor

sponsor

AddToAny

Slider

Theme images by mariusFM77. Powered by Blogger.

Videos

Music

Story

Business

Jobs

Sports

Comedy

Movie

Health

» » Aishi Manula aondolewa kikosini

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Morocco, amesema wamejiandaa vizuri kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Algeria utakaoanza saa mbili usiku huu.

Morocco ameeleza kuwa watatumia mfumo wa kushambulia na siyo kujilinda ili waweze kupata matokeo, pengine kulipiza kisasi baada ya Stars hizo kupoteza mchezo waliokutana mara ya mwisho kwa mabao 7-0.

Akizungumza na Chombo kimoja cha Radio 'EFM', Morocco anaamini vijana wake watafanya vizuri kutokana na maandalizi namna yalivyokwenda na hali ya kikosi kilivyo.

Mabadiliko kadhaa yameonekana hii leo, ambapo Golikipa Aishi Manula ameondolewa kikosini baada ya kuwa majeruhi, na nafasi yake ikichukuliwa na Abdulrahman Mohammed.

Aidha mfumo utakaotumika leo umebadilika, kutoka 4-4-2 na leo utatumika wa 4-3-3.

Mechi hiyo itaanza saa mbili kamili usiku huu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply