Wachezaji wa Simba wameahidiwa mamilioni ya fedha kama watafanikiwa kuvuka hatua nyingine ya Kombe la Shirikisho kwa kuing’oa Al Masry.
Wachezaji wa Simba wako mjini hapa na tayari wameelezwa kwamba wanachotakiwa ni kupambana na kuibuka ushindi.
Simba wanaivaa Al Masry katika mechi ya pili ya Kombe la Shirikisho, mechi ya kwanza iliisha kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments: