sponsor

sponsor

AddToAny

Slider

Theme images by mariusFM77. Powered by Blogger.

Videos

Music

Story

Business

Jobs

Sports

Comedy

Movie

Health

» » » Hashimu Rungwe: Watu wasiojulikana waliokuwa wamemteka binti yangu wamemwachia

Mwenyekiti wa chama CHAUMA Hashim Rungwe ambae pia alikuwa miongoni mwa wagombea wa Urais kwa mwaka 2015, March 27, 2018 alitangaza kutoonekana kwa ndugu yake anaeitwa Saida Hilal.

Leo March 31, 2018 amewaita waandishi wa habari na kusema tayari amempata Binti yake huyo amabe alikuwa ametekwa na watu wasiojulikana.

“Napenda kuwajulisha kwamba siku ya tarehe 28 jioni kuamkia 29, binti huyu Saida Hilal alionekana na waliomteka walimuacha Sinza, walikuwa wamemfunga kitambaa, nilipopata hizi habari nilimfuatilia”

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply