Baada ya Kifesi kuandika kupitia Instagram kuwa ameamua aache kazi ya upiga picha WCB, Hatimae dada yake Diamond Platnumz anajulikana kwa jina la Esma Platnumz amesema kuwa kifesi amefukuzwa kazi wala hajaacha kazi kwasababu ya kufatilia mambo ya Bosi wake, Akasema wao wamemshindwa sembuse yeye mtu baki
Esma Platnumz Ameandika hayo pia kupitia ukurasa wake wa Instagram kama inavyoonyesha kwenye picha hapo juu.....Mambo ni Moto!
Onlinejarida's Admin
We are the best publisher in east Africa inoder to keep you up to date
Subscribe to:
Post Comments (Atom)









No comments: